Matokeo Mbao Fc vs Lipuli Fc 6 April 2018 - ALEX MWENDATZ

Breaking

Friday, April 6, 2018

Matokeo Mbao Fc vs Lipuli Fc 6 April 2018


Matokeo Mbao Fc vs Lipuli Fc 6 April 2018 Katika uwanja wa CCM Kirumba Mkoani mwanza mpira ni Mapumziko (HALF TIME) Si Mbao Fc ambao ni wenyeji wala Lipuli Fc waliosafiri kutoka Iringa ambao wameshapata Bao mpaka sasa. HALF TIME Mbao 0 – 0 Lipuli.


Dakika ya 47 Mbao 0 – 0 Lipuli Dakika ya 50 bado 0 kwa 0 Dakika ya 65 bado ni 0 kwa 0 4/6/2018 Matokeo Mbao Fc vs Lipuli Fc 6 April 2018 -

matokeo-mbao-fc-vs-lipuli-fc-6-april-2018.html 2/3 Dakika ya 66 Boniface Maganga anakosa goli la wazi upande wa Mbao Dakika ya 80, Mbao Fc 0 – 0 Lipuli Dakika ya 84 Lipuli wanapata faulo eneo la nje kidogo ya 18, Paul Ngalema anapiga Kipa Anapangua.


 Zimeongezwa dakika 3 za Nyongeza bado ni 0 kwa 0 Paul Ngalema anapewa kadi ya Pili ya Njano kutokana na Utovu wa Nidhamu

Mechi imemalizika kwa sare ya kutofungana

No comments:

Post a Comment