LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE HATUA YA NANE BORA KUENDELEA KUTIMUA VUMBI KESHO - ALEX MWENDATZ

Breaking

Tuesday, April 10, 2018

LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE HATUA YA NANE BORA KUENDELEA KUTIMUA VUMBI KESHO

Image result for simba queens
Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premieum Lite hataua ya Nane bora inataraji kuendelea kesho Jumamosi Machi 3,2018 na Jumapili Machi 4,2018.
Jumamosi,Machi 3,2018  
Panama FC vs JKT Queens        Uwanja wa Samora
Jumapili Machi 4,2018
Simba Queens vs Evergreen       Uwanja wa Karume
Mlandizi vs Kigoma                    Uwanja wa Mabatini
Baobab vs Alliance                      Uwanja wa Jamhuri

No comments:

Post a Comment