Mechi ambayo inatarajiwa kuchezwa katika uwanja wa sabasaba mkoani Njombe kuanzia saa 10.00 jioni. Raundi ya kwanza Simba waliifunga Njombe Mji magoli 4-0 uwanja wa Taifa Dar es saalamu. Simba itawakosa Mwambereko, Ally Shomali, Mseja kuelekea pambano la leo.

No comments:
Post a Comment