Wamorocco wala mweleka wapili mfululizo uwanja wa taifa Dar es salaam - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, March 19, 2018

Wamorocco wala mweleka wapili mfululizo uwanja wa taifa Dar es salaam


Kikosi cha timu ya taifa ya Morocco U20 kimejikuta kikiambulia kipigo kwa mara nyingine baada ya kupoteza mechi yao ya pili dhidi ya Msumbiji kwa goli 1-0...Jana walifunga na Ngorongoro heroes goli 1-0

No comments:

Post a Comment