
Dada moja jina lake kpuni mepigwa bila huruma na mume wake kisa sio mvumilivu katika tendo la ndoa. Dada huyu mara nyingi amekuwa haridhishwi na mume wake n mume wake alimwambia awe mvumilivu kama mashabiki wa Arsenal na dada huyu kusema yeye ni Chelsea na hawajazoea uvumilivu. Mpaka ikafikia wakati dada kuchepuka na kukumbana na kisago kikali....

No comments:
Post a Comment