Serena William ametupwa nje michuano ya wazi ya Miami - ALEX MWENDATZ

Breaking

Friday, March 23, 2018

Serena William ametupwa nje michuano ya wazi ya Miami


Serena William ya kurejea kutoka likizo ya uzazi Serena Wiiliams ameondoshwa katika michuano ya wazi ya Miami katika mchezo wa raundi ya kwanza dhidi ya Naomi Osaka mshindi wa mara 23 wa michuano ya Grand Slam akifungwa kwa seti 6-3 6-2 .
Kushindwa kwa Serena ni siku chache tangu mkurugenzi wa michuano hiyo James Blake alipozungumzia juu ya sheria mpya za wachezaji wanaotoka katika likizo ya uzazi.
Osaka baada ya kumshinda Serena Williams sasa anatarajia kuutana na mchezaji na nne nne ulimwenguni katika mchezo wa Elina Svitolina of Ukraine katika raundi ya pili ya michuao ya Miami.
Williams mwenye umri wa miaka 36, mapema arijrejea kwenye michuano ya WTA ya India ya mwezi huu na kupoteza mchezo wa raundi ya tatu na kupoteza mchezo huo dhid ya dada yake Venus William.

No comments:

Post a Comment