Real Madrid mambo safi kabisa - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, March 19, 2018

Real Madrid mambo safi kabisa


Wachezaji wa Real Madrid wanaishi maisha ya raha sana pindi wanapoamua kulala katika eneo la viwanja vya mazoezi , Valdebebas, ambapo Marcelo ameonyesha sehemu yake ya kupumzika na kulala .
Amesema kwamba aliomba kwa mahususi kabisa apate sehemu ambayo ataweza kuona mahala pa maegesho ya magari, ili aweze kuliangalia gari lake.

Beki huyo wa kushoto pia amethibitisha kwamba aliwahi kushinda hapo kwa wiki mbili wakati katika nyumba yake ujenzi ukiwa unaendelea , licha ya hivyo apate ofa ya bure ya  chakula na vinywaji bora. 

No comments:

Post a Comment