Icard apiga 4 Inter ikiua 5 kwa mduara - ALEX MWENDATZ

Breaking

Sunday, March 18, 2018

Icard apiga 4 Inter ikiua 5 kwa mduara


Staa wa kimataifa wa ARgentina amepiga goli nne hii leo na kuiwezesha Inter Milan kushinda doli 5 kw sifuri dhidi ya Sampdoria
. Bao lingine limefungwa na Ivan Perisic..Inter wanashika nafasi ya 3 na alama 55waliocheza michezo 28 nyuma ya Lazio wenye alama 53 na michezo 27...22

No comments:

Post a Comment