Atletico Madrid kazi kazi dhidi ya Chelsea hii leo pale darajani - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, December 4, 2017

Atletico Madrid kazi kazi dhidi ya Chelsea hii leo pale darajani

Diego Costa hatasafiri na Atletico Madrid kwenda London kuivaa Chelsea katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayopigwa kesho Jumanne katika dimba la Stamford Bridge.

Atletico Madrid wameamua kumuacha Costa akiendelea na mazoezi kwa kuwa aliondoka  Chelsea kwa mfarakano mnkubwa baada ya Kocha Diego Costa kumuandikia ujumbe kwamba hamhitaji.

Baadaye Costa ambaye aliisaidia Chelsea kubeba ubingwa wa England alisema walikuwa wakiishi naye kama mhalifu.

Baada ya mgongano wa muda, Costa raia wa Hispania mwenye asili ya Brazil, aliamua kurejea Atletico.






No comments:

Post a Comment