KELECHI IHEANACHO KATIKA VIPIMO VYA AFYA LEICESTER CITY - ALEX MWENDATZ

Breaking

Wednesday, August 2, 2017

KELECHI IHEANACHO KATIKA VIPIMO VYA AFYA LEICESTER CITY



Mshambuliaji Mnigeria, Kelechi Iheanacho akifanyiwa vipimo vya afya kuelekea uhamisho wake wa Pauni Milioni 25 Leicester City kutoka Manchester City, ambayo imekubali kipengele cha kumnunua tena mchezaji huyo kwa ada ya Pauni Milioni 50 

No comments:

Post a Comment