JE WAJUA MKE WA JAMES RODRIGUEZ ALIFANYIWA UPASUAJI WA SURA YAKE? - ALEX MWENDATZ

Breaking

Tuesday, May 30, 2017

JE WAJUA MKE WA JAMES RODRIGUEZ ALIFANYIWA UPASUAJI WA SURA YAKE?

Picha ya Alex Mwenda ThePerfect Man

Na Alexx Mwenda
Anaitwa James Rodriguez mshambuliaji wa Real Madrid, akiwa na mkewe Daniela Ospina, ambee ni mdogo wa golikipa wa Arsenal David Ospina......
Wamefanikiwa kupata mtoto mmoja.....James alimpata Daniela kupitia kaka yake Ospina wakati wapo nchini Ufaransa, David Ospin alikuwa anapenda sana kumposti dada yake kupitia ukurasa wake wa Insta, na ndipo ambapo James alipotokwa na udenda.
..Picha ya Alex Mwenda ThePerfect Man
.
Daniela, Alilazimika kufanyiwa operation ya sura mwaka jana kutokana na mashabiki wa soka ulimwenduni kusema kuwa mwanamke huyu alikuwa hana sura ya mvuto kama ya mumewe ndipo alipofanyiwa operation ...
James Rodriguz ni nahodha wa Timu ya taifa ya Colombia, wkati shemeji yke David Ospina ni golikipa namba moj wa timu hiyo ya Colombia...Rodriguez alikuw mfungaji bora wa Kombe la dunia nchini Brazil 2014. tembelea google Alex MwendaTZ

No comments:

Post a Comment