MTANZANIA AZIDI KUSOTA HUKO BARANI ULAYA - ALEX MWENDATZ

Breaking

Saturday, April 29, 2017

MTANZANIA AZIDI KUSOTA HUKO BARANI ULAYA

Image result for SAMATA Mtanzania MbwanaAlly Samatta amezidi kuwa mkavu ktika kutupia mabao baada ya jana kushindwa kufunga bao katika mchezo ambao Samatta alitokea benchi, akiingia katika dakika ya 66, kuchukua nafasi ya mfungaji wa bao la kwanza wa timu hiyo Leonandro Trossand, ambao Genk ilipata ushindi wa mabao3-0 dhidi ya Kortijki katika mchezo wa Play-off. mpaka sasa ameichezea klabu hiyo michezo 45 na kufunga mabao18. Mbwana ameshindwa kufunga katika mechi 6 zilizopita, za ligi kuu, robo fainali ya UROPE na ile ya play off...

No comments:

Post a Comment