New
- LA Galaxy wanampango wa kumsajili Zlatan Ibrahimovic na kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi Major Soccer League ya Nchini Marekani. (Sports Illustrated )
- Mesut Ozil amepewa ofa ya kuendelea kubaki katika klabu ya Arsenal na kama atakubali atakuwa akilipwa pauni 280,000 kwa wiki (Daily Mirror)

- Alex Oxlade Chamberlain huenda akaondoka Arsenal na Anatajwa huenda akatimkia zake Manchester City au Man United wameandika (Daily Mirror)
- Manchester City wanaangalia uwezekano wa kumsajili Mgabon Pierre-Emerick Aubameyang wa Borussia Dortmund hali hii itawafanya City kuwa tayari kumwachia Sergio Aguero (The Sun)
- Chelsea wanatarajia kuuboresha mkataba wa kocha wake Antonio Conte lakini maamuzi haya yatakuja baada ya kujua hatma ya Ubingwa (Daily Telegraph )
- Gareth Bale amewaambia Real Madrid kumsaini mchezaji wa Spurs Dele Alli licha ya klabu kama Man City na Barcelona kuonyesha hitaji la kumsajili (Don Balon)
- Timu ya Barcelona wameanza kumfatilia Marcos Alonso wa Chelsea ili kumsajili (Marca)
No comments:
Post a Comment