SAMATTA VITANI LEO DHIDI YA KAA GENT MCHEZO WA EUROPA LEAGUE - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, March 9, 2017

SAMATTA VITANI LEO DHIDI YA KAA GENT MCHEZO WA EUROPA LEAGUE

samatta bao europa

Timu ya KRC Genk Leo kitakuwa ugenini kucheza na KAA Gent mchezo wa kombe la Shirikisho barani Ulaya inayojulikana kwa jina la Europa League.

Mechi hiyo itakuwa na upinzani mkali huku Mtanzania, Mbwana Samatta akitarajiwa kuongoza safu ya ushambulizi.
Samatta ambaye ana mabao 14 baada ya kuichezea Genk kwa mechi 43, ndiye tegemeo la ushambulizi la timu hiyo.
Genk itakuwa ugenini ikitegemea kumaliza kazi ili kusonga mbele katika michuano ya Europa.

No comments:

Post a Comment