Mechi za Leo: Ratiba Ligi Kuu Uingereza - ALEX MWENDATZ

Breaking

Saturday, March 18, 2017

Mechi za Leo: Ratiba Ligi Kuu Uingereza

Ligi Kuu Uingereza inaendelea kwa mechi saba kupigwa katika viwanja mbalimbali. Vigogo Arsenal na Chelsea watakuwa na vibarua vya ugenini dhidi ya West Bromwich Albion na Stoke City.
Wenger_01
West Bromwich Albion v Arsenal   ( 9:30 Alasiri )
Everton v Hull City- (12:00 Jioni   )
Crystal Palace v Watford (  12:00 Jioni  )
Stoke City v Chelsea  ( 12:00 Jioni  )
Sunderland v Burnley -( 12:00 Jioni )
Bournemouth v Swansea City ( 12:00 Jioni )

No comments:

Post a Comment