KOCHA WA ZANACO ATAJA KINACHOMPA IMANI YA KUWAFUNGA YANGA JUMAMOSI - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, March 9, 2017

KOCHA WA ZANACO ATAJA KINACHOMPA IMANI YA KUWAFUNGA YANGA JUMAMOSI

Kocha wa Zanaco Mumamba Numba amesema Timu yake iko tayari kwaajili ya mechi dhidi ya Yanga jumamosi katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.
Image result for MUMAMBA NUMBA

Nunda amesema " Mr Lwandamina tunamfahamu , tumefanya naye kazi tunajua falsafa yake, nafikiri hicho ndicho kinachotupa imani ya kupata ushindi, tunapoenda kukutana na Yanga nafikiri vitu hivyo havitaenda kubadilika sana kumuhusu Lwandamina "

No comments:

Post a Comment