

Kocha wa Chelsea amesema kuwa muda mwingine huwa hapendi utani wa kocha wa man united, Jose Mourninho.
Conte amedai kuwa mourinho alimwambia kuwa team yake itachukua tuu ubingwa licha ya wikendi hii kudroo na Bernley katika uwanja wa taff more huku Man united wakishinda 2-0 vdhidi ya Watford.
Conte amesema hizo ni kejeri katika soka na anasahau kuwa tunaongoza kwa alama 10 nyuma ya Tottenham.


No comments:
Post a Comment