MLINZI
chipukizi wa Athletic Bilbao, Aymeric Laporte ataingia kwenye rekodi ya usajili
baada ya timu ya Manchester City kutangaza dau kubwa la uhamisho.

City wametengeneza kumtengea mchezaji huyo raia wa Ufaransa paundi Mil 55 katika usajili wa kiangazi.
No comments:
Post a Comment