GRIEZMANN 'WA MAN U' AIPA USHINDI ATLETICO MADRID - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, February 13, 2017

GRIEZMANN 'WA MAN U' AIPA USHINDI ATLETICO MADRID

Mshambuliaji anayetakiwa na Manchester United, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania.
 Mabao mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na Fernando Torres dakika ya 11 na Yannick Carrasco dakika ya 86, wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Gustavo Cabral dakika ya tano na John Guidetti dakika ya 78

No comments:

Post a Comment