40 YA NILAN WA DIAMOND PLATNUMZ NI SHIDA - ALEX MWENDATZ

Breaking

Sunday, February 12, 2017

40 YA NILAN WA DIAMOND PLATNUMZ NI SHIDA

Msanii wa muziki Diamond Platnum Juamosi hii amefanya sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam.




Image result for diamond katika 40 ya nilan
Diamond na familia yake
Nillan alizaliwa nchini Afrika Kusini, yalipo makazi ya mwanamama Zari na tangu kuzaliwa kwake, hakuwahi kuoneshwa sura hadharani hata siku moja mpaka siku ya arobaini yake.









No comments:

Post a Comment