




Conte amedai kuwa mourinho alimwambia kuwa team yake itachukua tuu ubingwa licha ya wikendi hii kudroo na Bernley katika uwanja wa taff more huku Man united wakishinda 2-0 vdhidi ya Watford.
Conte amesema hizo ni kejeri katika soka na anasahau kuwa tunaongoza kwa alama 10 nyuma ya Tottenham.
No comments:
Post a Comment